Leo umetimia mwaka mmoja tangu mtu wa kwanza aliyembukizwa virusi vya corona kutangazwa nchini Kenya// Biden aagiza chanjo ya kutosha Wamarekani wote watu wazima, na kusaini mpango wa msaada wa dola Trilioni 1.9// Wanawake wa Libya wanataka maendeleo zaidi baada ya uteuzi wa waziri wa kwanza mwanamke wa mambo ya nje//