Marekani yajiunga uchunguzi ajali ya Ndege/ Serikali ya Uganda imezidi kukanusha madai ya serikali ya Rwanda kwamba inawapa hifadhi wakosoaji wa utawala wa rais Paul Kagame/ Algeria: Bouteflika kutogembea muhula mwingine wa urais/ Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit