Muda wa kampeni za uchaguzi nchini Uganda umemalizika/ Mkutano wa One Planet: Viongozi wa ulimwengu wanatarajia kuongeza kasi katika juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira/ Polisi Ujerumani yavunjwa soko haramu la mtandaoni