1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.12.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

11 Desemba 2020

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wafikia muafaka kuhusu bajeti na mpango wa uokozi wa kanda hiyo. Waziri Mkuu wa Uingereza amesema majadiliano na Umoja wa Ulaya yanaweza kumalizika bila ya kuwa na mkataba. Israel imefikia makubaliano ya kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na Morocco.

https://p.dw.com/p/3mYPX