Wakaazi wa Ethiopia wanazungumzia furaha na fakhari yao kwa waziri mkuu wao Abiy Ahmed kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobel//Miili ya Mariam Kigenda na mwanawe Amanda Mutheu wa miaka minne hatimaye imetolewa ndani ya kivuko cha likoni,Kenya baada ya gari lao kuzama mnamo Septemba 29