Dunia yasubiri kwa hamu mkutano wa Trump na Kim/ Italia, Malta zaizuia meli ya wahamiaji kutia nanga/ Uganda: Mauaji ya kikatili ya mbunge wa manispaa ya Arua yameendelea kuzusha mshtuko na mjadala kuhusu hali ya usalama nchini humo/ Tanzania: Mamlaka ya mawasiliano imeanza kufunga mitandao ya kijamii na ambayo imeshindwa kufuata utaratibu/Mkutano wa Jukwaa la vyombo vya habari DW waanza Bonn