Azma ya Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga ya kuwa rais wa tano katika taifa hilo lenye uchumi mkubwa Afrika ya Mashariki+++Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz yuko nchini Ufaransa kwa ziara rasmi ya kwanza kuifanya nje ya nchi tangu alipoteuliwa kuwa kansela wa taifa hilo+++Biden atoa tahadhari kuhusu demokrasia ya ulimwengu.