Suala la hamahama ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania na kujiunga na chama tawala cha CCM linaendelea kuumiza vichwa vya wadadisi wa mambo, huku wengi wakihofia taswira ya demokrasia ya taifa hilo la Afrika Mashariki miaka miwili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mwengine mkuu