Waandishi habari tisa wa DW wamefanikiwa pia kuondoka nchini Afghanistan kupitia Pakistan+++Rais Joe Biden wa Marekani amezungumza na mwenzake wa China, Xi Jinping, kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miezi saba+++DR Congo- Vijana mjini Beni washika Doria kufuatia ongezeko la uhalifu+++ Mpinzani wa kisiasa akamatwa kwa madai ya ubakaji Rwanda.