1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

10 Juni 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken leo hii anaelekea tena eneo la Mashariki ya Kati kushinikiza mpango wa kusitisha mapigano, lakini hali ya kisiasa huko Israel na ukimya kutoka kwa kundi la Hamas unazusha swali la iwapo ataweza kufaulu.

https://p.dw.com/p/4gqq0
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)