Chama tawala nchini Gabon kinasema rais Ali Bongo Ondimba anayeugua atarejea nyumbani hivi karibuni baada ya jaribio la mapinduzi wiki hii// Mvutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa chama cha Democratic kuhusu ujenzi wa ukuta wa mpakani unaotakiwa na rais huyo, umeingia sura mpya