Leo Uganda inaadhimisha miaka 56 ya uhuru/ Vijana wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA wameshiriki mkutano mkuu wa chama kinachoongozwa na Kansela Merkel cha CDU cha hapa Ujerumani> Mahojiano/ Ujerumani: Kumeandaliwa mkusanyiko wa kuunda kule kinachoitwa 'Kundi la Wayahudi nadini ya chama cha AFD'/ Mauaji ya vikongwe katika mkoa wa shinyanga nchini Tanzania