Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa ukame unaoyakumba maeneo kadhaa ya nchi ya Kenya kuwa janga la Taifa+++ECOWAS yaisimamisha Guinea baada ya jeshi kutwaa mamlaka+++Ujerumani kufungua tena ubalozi wake nchini Libya baada ya kuondoka mwaka 2014 kutokana na kushamiri kwa mizozo+++Marekani yahofia Al-Qaeda kuibuka tena nchini Afghanistan.