Wakati Tanzania inaendelea na mipango ya kurudi katika maisha ya kawaida, suala la udhalilishaji limejitokeza kuwa miongoni mwa changamoto zilizoikabili Zanzibar/ Tanzania: Idadi ya watoto wanaofanya biashara ya ngono imeendelea kuongezeka hasa katika miji mikubwa / DW Akademie & Wakfu wa Ladima: Shindano maalumu la filamu linalokusudia kuwapa wanawake sauti katika wakati wa janga la COVID-19