Ujerumani na Uingereza zimelilaani vikali shambulizi la gesi la sumu nchini Syria/ Tanzania: Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amesema kuwa haogopi kuhojiwa juu ya uraia wake/ Mwenyekiti wa tume huru ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya IEBC amemsimisha kwa muda wa miezi mitatu mkurugenzi wa tume hiyo