1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.11.2015: Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S8 Novemba 2015

Miongoni mwa tuliyonayo mchana huu ni pamoja na: Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Ulaya, Donald Tusk, amesema Ujerumani inahitaji kuongeza nguvu zaidi kuutatua mzozo wa wakimbizi na kusaidia kuilinda mipaka ya nje ya Ulaya // Urusi imewaondoa raia wake 11,000 waliokuwa wakitalii Misri katika kipindi cha saa 24 // Watu saba wameuawa nchini Burundi usiku wa kuamkia leo kwenye mji mkuu, Bujumbura.

https://p.dw.com/p/1H1r4