1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.07.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Julai 2024

Nchini Ufaransa, chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally kimepata pigo kubwa kwa kushindwa katika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge++Mawaziri wa mambo ya kigeni wa mataifa yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana visiwani Zanzibar kujaribu kutatua migogoro ya kisiasa.

https://p.dw.com/p/4i0qa