Iran kutotekeleza ahadi za mkataba wa nyuklia/ Waafrika Kusini wanapiga kura katika uchaguzi mkuu/ Wapiganaji wa Maimai wameushambulia mapema leo mji wa kibiashara wa Butembo/ Kenya: Mjadala kuhusu mishahara na marupurupu ya wabunge ungali unaendelea na wanaharakati wanashikilia kuwa ni sharti wabunge warudishe fedha walizolipwa kimakosa kama marupurupu> Mahojiano