Siasa08.03.2018 Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S08.03.20188 Machi 2018Wakati Siku ya Wanawake Duniani ikiadhimishwa leo tarehe 08 Machi, Shirika la ajira la Umoja wa Mataifa, ILO limeonya kwamba hatua iliyopigwa katika kutoa fursa sawa za ajira kwa watu wa jinsia zote inaelekea kusimama, na pengine kurudi nyumahttps://p.dw.com/p/2txFsMatangazo