Rais Kagame ajitokeza na kukomesha uvumi kuhusu kifo chake/ Raia Uganda wahofia uchaguzi mkuu ujao utakumbwa na ghasia/ Salman amwambia Trump suala la Palestina litatuliwe kwa haki/ Huenda pande hasimu Afghanistan zikakutana Doha kwa mazungumzo/ Mpango wa Uingereza wa Brexit waibua wasiwasi Umoja wa Ulaya