1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.02.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S7 Machi 2020

Idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona nchini Italia yakaribia watu 200. Kundi linalojiita dola la kiislam limedai kuhusika na shambulizi lilitokea mjini Kabul. Rais Bashari al-Assad wa Syria ameyasifu makubaliano ya kusitisha mapigano kwenye jimbo la Idlib.

https://p.dw.com/p/3Z0rp