1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.02.2016 Matangazo ya Mchana saa 7:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S7 Februari 2016

Korea Kaskazini imeshutumiwa vikali na jumuiya ya kimataifa, baada ya kurusha roketi la masafa marefu. Umoja wa Ulaya umeishinikiza Uturuki kuwafungulia njia maelfu ya wakimbizi wanaokimbia vita nchini Syria. Watu zaidi ya 120 wanahofiwa kusalia chini ya kifusi cha jengo lililoangushwa na tetemeko la ardhi kisiwani Taiwan

https://p.dw.com/p/1Hr5n