Wabunge wa Marekani wauidhinisha ushindi wa Joe Biden// Kundi la wafuasi wa rais Donald Trump walivamia jengo la bunge mjini Washington na kufanya vurugu ambazo zimeushtua ulimwengu mzima// Maoni: Siku za mwisho za Trump zimegubikwa na ghasia// Kenya- Hatua ya kuwafuta kazi wataalamu wa afya yakosolewa vikali// WHO: Mapambano dhidi ya COVID-19 yatakuwa magumu.