Uingereza: Karne moja iliyopita wanawake walijipatia haki ya kupiga kura/ Siku ya Kimataifa ya kutovumilia ukeketaji wa wanawake duniani/ Yemen: Mshindi wa tuzo ya Nobel amesimamishwa na chama chake chenye mafungamano na rais, baada ya kuutuhumu muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unaomuunga mkono/ Utawala wa Rais Trump umeonyesha kusitasiata katika kuiwekea vikwazo Urusi.