1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.01.2017: Taarifa ya habari asubuhi

Isaac Gamba
6 Januari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Taasisi za kijasusi Marekani zaihusisha Urusi na kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo// Maafisa wawili wa jeshi nchini Uturuki wahukumiwa kifungo cha maisha gerezani// Watu kumi wauawa katika shambulizi la bomu Syria.

https://p.dw.com/p/2VNtX