Rais wa Tanzania anaadhimisha miaka minne mamlakani hii leo> Mahojiano/ Kongo: Waziri wa sheria ameanzisha operesheni ya kuwaachia huru kwa dhamana wafungwa waliotumikia nusu ya kifungo jela na wale ambao kesi zao hazija sikilizwa kwa zaidi ya miaka miwili/ ICC: Sudan Kusini inaelekea katika mgogoro mkubwa zaidi na inaweza kuingia tena katika mapigano makali