1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.07.2016 Taarifa ya Habari Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

V2 / S12S5 Julai 2016

Mshambuliaji wa kujitoa muhanga ajiripua karibu ya Msikiti wa Mtume mjini Madina, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, Kinara wa Uingereza kujitoa ndani ya Umoja wa Ulaya Nigel Farage ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/1JJ4A