Viongozi wa dunia kuadhimisha miaka 75 ya D-Day/ Baraza la kijeshi Sudan lasema liko tayari kuzungumza tena/ Leo ni Siku ya Mazingira Duniani/ Wakenya na Watanzania wanasherehekea sikukuu ya Eid-ul-Fitr kuukamilisha mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan