1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.12.2021 Kipindi cha Karibuni

3 Desemba 2021

Katika kipindi cha Karibuni cha 04.12.2021 utasikia Sadiki Ukipenda ambayo safari hii inajikita katika hoja ya kabila la Wahehe wa Tanzania wanakula mbwa, lakini pia utamsikia msikilizaji wetu wa mwezi Jeremiah Alexander wa Dodoma.

https://p.dw.com/p/43m4d