Ukweli kwamba Jumuiya ya Kujihami ya NATO inaandamwa na mgogoro mmoja baada ya mwengine unapokelewa kwa furaha na Urusi/ Je, kwa kiasi gani Tanzania imeathirika kutokana na kupanda kwa viwango vya joto duniani?> Mahojiano/ Imeelezwa kwamba kuna haja kwa taifa la Kenya kuweka mikakati itakayoishirikisha serikali kuu na zile za majimbo katika kutatua changamoto ya utapiamlo