Mwaka mmoja umetimia tangu kuanza kwa vita katika jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia, baina ya wapiganaji watiifu kwa kundi la ukombozi wa Tigray+++Watoto waliotumikishwa jeshini nchini Jamuhuri ya Kidemkrasia ya Congo, wanakabiliwa na changamoto kurejea katika maisha ya kiraia+++Mamia kwa maelfu ya wanafunzi wa kike nchini Afghanistan hawajaruhisiwa kurudi masomoni.