1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.11.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Novemba 2020

Bado Wamarekani na ulimwengu kwa ujumla wake unasubiri matokeo ya uchaguzi wa rais huko Marekani/ Nini kitatokea kama matokeo ya uchaguzi wa Marekani yatapingwa?/ Marekani yajitoa rasmi mkataba wa tabia nchi wa Paris / Kenya yatangaza hatua mpya za kupambana na corona/ Wagombea wa urais Uganda wazindua ilani zao

https://p.dw.com/p/3ksBw