1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.10.2015 Matangazo ya jioni: Saa 12 Afrika Mashariki

SK2 / S02S4 Oktoba 2015

Uturuki na Umoja wa Ulaya zakubaliana kuhusu mpango mpya wa kudhibiti mmiminiko wa wakimbizi barani Ulaya, shirika la madaktari wasio na Mipaka MSF lajitoa Kunduz Afghanistan, baada ya wafanyakazi wake kuuawa na mashambulizi ya Marekani - Taliban wautwaa tena mji huo, rais wa Syria Bashar al-Assad asema nchi yake pamoja na Urusi, Iran na Iraq zimeunda muungano dhisi ya magaidi.

https://p.dw.com/p/1GiVc