Mkutano wa kilele kati ya China na Afrika- Wanafunzi kutoka Afrika Mashariki wanaosoma China kuhusu mfumo wa maingiliano yao katika jamii ya Wachina/ Wafadhili waahidi dola bilioni 2.7 kwa eneo la ziwa Chad/ Ujerumani: Watu 65,000 walifurika jana usiku katika tamasha la kupinga matukio ya kibaguzi mjini Chemnitz/ DRC: Mahakama ya Kikatiba imeuidhinisha uamuzi unaomzuwia Bemba kuwania urais