Tanzania: Mkutuano mkuu wa chama cha Chadema/ Uganda: Vyombo vya utangazaji vinahoji nia ya polisi kuwataka kuwasilisha majina ya wageni wanaoalikwa kwenye vipindi mbalimbali kabla ya kuwaruhusu hewani/ Maandamano Bukavu kumtaka Rais Tshisekedi kuheshimu katiba/ Muswada wa kuwapa wabunge waliostaafu malipo ya uzeeni Kenya