1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2018-Taarifa ya habari ya saa moja Asubuhi

Isaac Gamba
4 Agosti 2018

Tuliyo nayo ni pamoja na :Marekani yasema Korea Kaskazini imedhamiria kuondoa silaha za nyukilia//Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May azungumza na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu Brexit// Kiongozi wa chama cha MDC Zimbabwe Nelson Chamisa asema atafuata taratibu za kisheria kupinaga matokeo ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/32c4U