Leo hii inatimia miaka 30 tangu vifaru vya jeshi la China vilipoivamia mitaa ya Peking ili kukandamiza maandamano ya amani katika uwanja wa Tiananmen/ Serikali ya Kenya imetoa siku 14 kwa wanaomiliki bunduki haramu katika jimbo la Marsabit, kuzirejesha katika idara ya polisi mara moja/ Maoni: Matumaini ya kuundwa baraza la mpito nichini Sudan yametoweka