Hali ya kisiasa nchini Uganda baada ya mauaji ya bondia mashuhuri / Shule zinafunguliwa nchini Kenya wakati bado kunaripotiwa visa vipya vya maambukizi ya Covid 19/ Waasi wauteka mji wa Bangassou Jamhuri ya Afrika ya Kati/ Uingereza yakataa kumrejesha Julian Assange Marekani/ Umoja wa Ulaya umeiongezea Bosnia-Herzegovina kiasi cha Euro milioni 3.5