Guterres ametoa wito kwa viongozi wa ulimwengu kuzingatia kitisho cha mabadiliko ya tabianchi kwa umakini wa hali juu/ Yemen: Waasi 50 wa Houthi wamesafirishwa kuelekea Oman kwa ajili ya matibabu/ Mahakama jijini Nairobi, Kenya, imekataa kuzuia amri ya inayoyapiga marufuku magari ya abiria kuingia ndani ya kitovu cha mji huo mkuu/