Tanzania yaendelea kukanusha uwepo wa Ebola nchini humo/ Mapendekezo mapya ya Johnson kuhusu Brexit yameibua mabishano makali ndani ya bunge la Uingereza/ Afrika Kusini na Nigeria zimetiliana saini mikataba 30 ya biashara na ushirikiano/ Iraq: Maandamano ya kuipinga serikali/