Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara nchini Tanzania imewakamata watu 18// Mamlaka ya usimamizi wa polisi nchini Kenya, imesema watu 15 wameuawa na polisi nchini humo// Jimbo la Minnesota limeanzisha Jumanne uchunguzi wa haki za raia katika idara ya polisi mjini Minneapolis kwa matumaini ya kulazimisha mageuzi kadhaa kufuatia kifo cha George Floyd.