1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.04.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Aprili 2020

Idadi ya walioambukizwa virusi vya corona duniani imepindukia watu milioni 1. Benki ya Dunia imeidhinisha kitita cha mabilioni ya dola kusaidia nchi masikini kukabiliana na virusi vya Corona. Upinzani nchini Venezuela umesema serikali imewakamata wajumbe wake wawili

https://p.dw.com/p/3aO8p