Stoltenberg akutana na Trump/ Wasi wasi watanda miongoni mwa watu wa kitongoji cha East London juu ya athari zinazoweza kusababishwa na hatua ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya/ Shirika la Msalaba Mwekundu: Wafanyakazi wa afya na kibinaadamu katika maeneo ya kivita wanakabiliwa na ongezeko la mashambulizi