Urusi: St. Petersburg yashambuliwa/ Trump anakutana na rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri/ Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Ulaya wanajadili mizozo nchini Syria na Yemen/ Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo: Mgomo baridi ulioitishwa na vyama vya upinzani umeenea hadi sehemu ya mashariki ya nchi hiyo/ Burundi: Wanafunzi 12 wa chuo kikuu wanashikiliwa na polisi baada ya kuanzishwa mgomo