1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Januari 2020

Bunge la Uturuki limeidhinisha muswada wa kupeleka wanajeshi nchini Libya. Jenerali wa jeshi la Iran na kiongozi wa wanamgambo wa kishia wameuwawa kwenye shambulizi mjini Baghdad. Jeshi la Australia limeanza kuwaondoa watu kutoka majimbo yanayokumbwa na janga la moto.

https://p.dw.com/p/3VepJ