Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amekamilisha mwaka mmoja tangu aliposhika wadhifa huo/ Senegal imesifiwa katika juhudi zake za kukabiliana na janga la Corona. Hata hivyo mbinu iliyofanikisha hali hiyo inasababisha mgawanyiko miongoni mwa wataalam/ Macron anakabiliwa na shinikizo kwa kubadili mkondo wa siasa kuelekea mrengo wa kulia