1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
2 Oktoba 2024

Israel itaendelea kufanya mashambulizi kote Mashariki ya Kati kufuatia shambulizi la Iran. Ukraine yachunguza mauaji ya wanajeshi wake wafungwa wa kivita waliouwawa na Urusi. Na Wabunge wa Kenya waridhia mjadala wa kumuondoa madarakani naibu wa rais Rigathi Gachagua.

https://p.dw.com/p/4lJbA