DR Congo: Ituri- Waasi wa ADF kundi la kigaidi kutoka Uganda walishambulia jana msafara wa ma mia ya magari uliokuwa unapewa usalama na jeshi la Umoja wa mataifa pamoja+++Hapo jana Kansela wa Ujerumani Angela Merkel alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan+++Taliban kutangaza serikali yale licha ya kuyumba kwa uchumi Afghanistan.