Mashirika ya ndege manne makubwa duniani yametangaza kuongeza idadi ya Safari zake za ndege nchi Tanzania/ Uganda: Kuongezeka kwa idadi ya watoto machinga kwenye barabara za miji ni kielelezo kuwa huenda mwendelezo wa kufungwa kwa shule katika kipindi hiki cha COVID-19 utakuwa na athari kubwa kwa maisha yao/ Kenya: Viongozi wa kidini wamegawanyika kuhusu suala la mageuzi ya katiba na kura ya maon