Rais wa Zanzibar amemuapisha Makamo wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman Ikulu mjini Zanzibar baada ya kumteuwa hapo jana/ Maaskofu DRC waonya dhidi ya kuchelewesha uchaguzi mkuu> Mahojiano/ Kenya: Mashindano ya ubabe wa kisiasa ndani ya chama tawala yanashuhudiwa mjini Nakuru, eneo lililotambuliwa kama mahala ambapo siaza za Kenya huamuliwa/ Majirani wa Myanmar washinikiza Suu Kyi aachiwe huru